Okoka sasa
Kwa maana ya kumwamini yesu na kumkataa shetani na kuishi maisha matakatifu ya kumpendeza Mungu. Soma warumi 10:9 na yohana 3:1
Yesu akasema mtu asipozaliwa mara ya pili hawezi kuuona ufalme wa Mungu kilichozaliwa kwa mwili ni mwili ni mwili na kilichozaliwa kwa roho ni roho.
Umeshazaliwa kimwili bado hujazaliwa kiroho karibu.
Kwa waliokwisha okoka Tumtumikie Mungu kwa bidii zote maana neno la Mungu linasema, Amelaniwa mtu yule afanyae kazi ya Bwana kwa ulegevu soma yeremia 48:10. Badilika sasa.

Post a Comment