Header AdsYFYFFY

Kuzama kwa Mv Nyerere na uokoaji Mwanza Tanzania


Kamishna wa eneo jirani la Mara, Adam Malima ameeleza kwamba maafisa kadhaa kutoka enoe hilo wakiwemo polisi na jehsi la majini wanaelekea kujiung akatika jitihada za uokozi.
''Hatuijui hali halisi tunakwenda kuikagua kwanza alafu baadaye tutatoa tamko rasmi.
Malima ameeleza kwamba maboti ya polisi na jeshi watashirikaian akatika zoezi hilo la uokozi.
''Tunaomba mungu atupe subira kwa wakati huu, na tusishuhudie idadi kubwa ya vifo'
Mkasa huo umewashutusha wengi nchini kama mwanamke mmoja aliyeshuhudia mkasa huo ambaye alionekana kujawa na hisia.
''Tazama Tazama.. Kivuko kile pale kimezama …….miili inaelea, imezama

No comments